Msaada kuhusu ujenzi (kujenga nyumba)

Msaada kuhusu ujenzi (kujenga nyumba)

nsalu

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2012
Posts
1,189
Reaction score
1,240
Members nina kiasi cha Tshs.milioni hamsini je ninaweza kujenga nyumba ya vyumba vinne ikaisha? Naomba ushauri kutoka kwa wale ambao wameshajenga nyumba. Na kama hujajenga basi unafahamu usisite kunielewesha.

Nawashukuru sana.
 
mkuu kwa pesa hiyo utatoa kitu cha ukweli,kama upo dar ndo kabisa,kama una muda simamia mwenyewe jino kwa jino na mafundi.
 
yani inatosha kabsa 40m 4bedroom 2zikiwa self..plus jko..publc toilet..sittng&dining room kwa dar kikubwa usjenge kwa smu kaa na fund muandke lst ya material na garama zifke ste mpatane apge mzigo make sure kila wiki unafka ste au wfe au mzazi na ndugu unayemwaamin asije akajoin kund la mafund ukaibiwa...nawasilisha 10m unaifanya emergecy
 
kama thread aliotoa EWGMs. somehow ni realistic maana mimi nimejenga nyumba ya 4 rooms, sebule, dining kwa around 42million na haikuisha bado.
 
Utamu wa kujenga nyumba uianze. Changamoto nyingi unakutana nazo huko.
 
kama thread aliotoa EWGMs. somehow ni realistic maana mimi nimejenga nyumba ya 4 rooms, sebule, dining kwa around 42million na haikuisha bado.

Yaani unamaanisha 42mill haikuisha au nyumba yenyewe haikuisha
 
mkuu kwa pesa hiyo utatoa kitu cha ukweli,kama upo dar ndo kabisa,kama una muda simamia mwenyewe jino kwa jino na mafundi.

Nipo DAR mkuu. Nakushukuru sana kwa kwa kunijibu mapema. Ubarikiwe sana Mkuu nitafanya hivyo.
 
yani inatosha kabsa 40m 4bedroom 2zikiwa self..plus jko..publc toilet..sittng&dining room kwa dar kikubwa usjenge kwa smu kaa na fund muandke lst ya material na garama zifke ste mpatane apge mzigo make sure kila wiki unafka ste au wfe au mzazi na ndugu unayemwaamin asije akajoin kund la mafund ukaibiwa...nawasilisha 10m unaifanya emergecy
DUU mkuu nakushukuru sana kwa ushauri wako. Mwanzo niliogopa nikidhani hazitatosha. Ngoja nianze mchakato. Mungu akubariki sana kwa kutokuwa mchoyo wa mawazo.
 
Hiyo hela itategemea vitu vifatavyo
  • Je una kiwanja? Kiwanja kiko wapi?
  • Terrain ya kiwanja ie kiko flat au kwenye milima milima
  • Infrastructure na utilities present
 
Members nina kiasi cha Tshs.milioni hamsini je ninaweza kujenga nyumba ya vyumba vinne ikaisha? Naomba ushauri kutoka kwa wale ambao wameshajenga nyumba. Na kama hujajenga basi unafahamu usisite kunielewesha.

Nawashukuru sana.

kuna nyuzi nyingi sana humu za ujenzi.. Zipitie kwanza. Last week kuna mtu alikuja na swali kama lako yeye ana Mil 20.
 
Hiyo hela itategemea vitu vifatavyo
  • Je una kiwanja? Kiwanja kiko wapi?
  • Terrain ya kiwanja ie kiko flat au kwenye milima milima
  • Infrastructure na utilities present

Kiwanja ninacho Heri kipo Mbezi Msumi na kipo sehemu ya tambarare siyo mlimani.
 
Back
Top Bottom