Msaada kuhusu upatikanaji wa mashamba ya kununa Morogoro

Msaada kuhusu upatikanaji wa mashamba ya kununa Morogoro

Mi nataka wilayani Malinyi (morogoro)
kma hekali 50 mwenye Kufahamu hama kujua watu wa huko please
 
Nitakutumia namba za simu za wenyeji wa huko mkuu,watakusaidia!Nina watu huko nafahamiana nao hivyo ondoa shaka!

mkuu mambo vipi. na mimi naomba msaada wa namba za hawa wadau nahitaji shamba la kukodi maeneo haya.
natanguliza shukrani mkuu.
 
mkuu mambo vipi. na mimi naomba msaada wa namba za hawa wadau nahitaji shamba la kukodi maeneo haya.
natanguliza shukrani mkuu.
Ukihitaji mashamba ya kukodi ukanda huu jaribu kunitafuta mimi. Nina wenyeji mzuri huku.
 
Mimi nataka kulima maharage na viazi vitamu wilaya ya turiani,naomba mwenye connection na shamba la kununua huko.
 
Kwa kilimo cha muhogo karibuni wilaya ya kisarawe tuna fulsa nzuri ya kilimo cha namna hiyo, pia Nina connection na watu Wa morogoro 0714959273
 
Kwa kilimo cha muhogo karibuni wilaya ya kisarawe tuna fulsa nzuri ya kilimo cha namna hiyo, pia Nina connection na watu Wa morogoro 0714959273
nipe muongozo kisarawe shamba la mihogo eka sh ngap kwa kukodi na ni msimu upi mzuri kupanda mihogo
 
Mimi nataka kulima maharage na viazi vitamu wilaya ya turiani,naomba mwenye connection na shamba la kununua huko.
Nami pia wadau, nahitaj sana shamba lililo karibu na dar. Morogoro ni njema zaidi. Plz help.
 
Back
Top Bottom