Asante sana kwa maelezo yako mazuri.Kama mtoto alizaliwa baada ya baba yake kupewa uraia wa kuandikishwa, automaticaly mtoto anakuwa raia wa Tanzania kwakuwa baba yake ni Mtanzania tayari wala haitiji kwenda mahakamani. Ila akifikisha umri wa miaka 18 anauwezo wa kuamua kufuata uraia wa mama yake, na kwakuwa nchi yetu hairuhusu uraia wa nchi mbili itampasa kuukana uraia wa Tanzania na kupewa huo wa nchi ya mama yake.