Msaada kuhusu usaili wa ajira za polisi

Msaada kuhusu usaili wa ajira za polisi

Mr nobby

Senior Member
Joined
Aug 25, 2023
Posts
196
Reaction score
395
Wakuu habari za majukumu,

Naombeni msaada juu ya usaili wa haya majina ya ajira za polisi yaliyotoka Leo. Je inawezekana kufanya interview sehem ambayo ni tofauti na uliyojaza hapo awali? Mfano awali niliomba Iringa lakini muda huu nipo Kagera na siwezi kurudi Tena Iringa kwa Sasa. Inawezekana kufanyia interview Kagera? Msaada tafadhali kwa wajuzi wa Mambo haya
 
Nenda ofisi za Kamanda wa Polisi Mkoa ( RPC) elezea shida yako watakupa JIBU sahihi.

Hata humu ulitakiwa upate JIBU la moja kwa moja toka kwao kama wangekuwa ACTIVE na mitandao ya kijamii kuangalia yanayowahusu na kuyafanyia kazi.
 
Me naomba kuuliza, kwa wale walioitwa kufanya usaili pale DPA kutakuwa na utaratibu gani wa malazi?
 
Jamani Kwa wale wa usaili mikoani je hiyo tarehe 29 tunatakiwa kufika ofisi ya mkoa au Kwa RPC
 
Back
Top Bottom