msaada kuhusu usajili na stika za magari

sajo

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2010
Posts
3,474
Reaction score
6,195
Naomba kupewa msaada wa stika zipi zinatakiwa (lazima) kuwa nazo ukiwa na gari ambalo linatembea..najua kuna motor vehicle license,fire na insurance..naomba mnijuze nyingine ambazo lazima zilipiwe ili kulifanya gari liwe barabarani kihalali
 
na nyingine ya nne ni ile ya Polisi wa Usalama ya "Nenda Kwa Usalama"...binafsi hii sijawahi kuinunua hata siku moja nadhani hizi za sasa zinauzwa buku 5.

Okay..nimeuliza hivyo maana sijawahi kuulizwa na trafiki kuhusu stika ya nenda kwa usalama mpaka jana nilipokomaliwa na trafiki mmoja katika wilaya fulani mpya ambayo nimehamia so nikawa sina uhakika kama ni lazima niilipie au la..thanks kwa jibu lako mzee
 
na nyingine ya nne ni ile ya Polisi wa Usalama ya "Nenda Kwa Usalama"...binafsi hii sijawahi kuinunua hata siku moja nadhani hizi za sasa zinauzwa buku 5.

Mkuu watu8 hiyo stika ya fire na ya "Nenda kwa usalama" zinapatikana wapi? Mi najua ni motor vehicle licence na insurance tu, na ndo nnazo kila siku.
 
Fika kituo chochote cha Polisi wa Usalama barabarani utanunua hizo stika...ila sina uhakika sana na bei hiyo!

Mkuu watu8 hiyo stika ya fire na ya "Nenda kwa usalama" zinapatikana wapi? Mi najua ni motor vehicle licence na insurance tu, na ndo nnazo kila siku.
 
Mkuu watu8 hiyo stika ya fire na ya "Nenda kwa usalama" zinapatikana wapi? Mi najua ni motor vehicle licence na insurance tu, na ndo nnazo kila siku.

Siku hizi motor vehicle licence inaunganishwa na fire moja kwa moja..zaman fire ilikua unaipata ofisi za fire..hiyo ya usalama barabaran ndo nimejulishwa na watu8
 
Naomba kupewa msaada wa stika zipi zinatakiwa (lazima) kuwa nazo ukiwa na gari ambalo linatembea..najua kuna motor vehicle license,fire na insurance..naomba mnijuze nyingine ambazo lazima zilipiwe ili kulifanya gari liwe barabarani kihalali
Fire sticker kwa sasa haipo ila unailipia wakati wa ku=renew MVL
 
na wakati mwingine Trafiki akiona hizo stika zote unazo, naanza kukuomba uonyesha 'First AID kit'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…