Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na nyingine ya nne ni ile ya Polisi wa Usalama ya "Nenda Kwa Usalama"...binafsi hii sijawahi kuinunua hata siku moja nadhani hizi za sasa zinauzwa buku 5.
![]()
na nyingine ya nne ni ile ya Polisi wa Usalama ya "Nenda Kwa Usalama"...binafsi hii sijawahi kuinunua hata siku moja nadhani hizi za sasa zinauzwa buku 5.
Mkuu watu8 hiyo stika ya fire na ya "Nenda kwa usalama" zinapatikana wapi? Mi najua ni motor vehicle licence na insurance tu, na ndo nnazo kila siku.
Mkuu watu8 hiyo stika ya fire na ya "Nenda kwa usalama" zinapatikana wapi? Mi najua ni motor vehicle licence na insurance tu, na ndo nnazo kila siku.
Fire sticker kwa sasa haipo ila unailipia wakati wa ku=renew MVLNaomba kupewa msaada wa stika zipi zinatakiwa (lazima) kuwa nazo ukiwa na gari ambalo linatembea..najua kuna motor vehicle license,fire na insurance..naomba mnijuze nyingine ambazo lazima zilipiwe ili kulifanya gari liwe barabarani kihalali