Msaada kuhusu ushuru TRA

Msaada kuhusu ushuru TRA

Scolari

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2017
Posts
1,721
Reaction score
2,383
Je hiyo amount iliyowekwa hapo ambayo imeeleza kuhusu clearing na forwarding ni tofauti na ile ya TRA? Maana yake ukitoka hapo ndio unaenda TRA tena?

Mungu tusaidie sisi watanzania wenye ndoto za kumiliki magari.

IMG_20210527_101142.jpg

 
Hilo gari mpaka linatembea barabaran unatakiwa uwe na milion 170-180
 
Ila parefu aisee....100M+ kwa Rav4? au mimi ndo sijaelewa?
 
Kwani hizi hazitakiwi kununuliwa na binadamu? Ni za wanyama?
Ni sawa na Mtu anaetaka kuanza kujenga nyumba yake ya Kwanza halafu anaulizia ramani ya ikulu ili ajenge Kama Ile.
 
Swala ni pesa na sio haya mawazo yako unayoyasema

Kwani ukitaka kununua gari kuna grade kwamba lazima uanze na kama hako ka bebi wolka unakokawaza?
Sawa anza na hyo Rav 4 adventure iko poa Sana..hutojutia pesa yako mzee
 
Nunua lilitongenezwa South Africa yana SADC preferential
 
Back
Top Bottom