Lyamber
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 11,716
- 18,828
Ndugu zangu naombeni msaada wa sheria inayohusu haki ya msimamizi wa mirathi baada ya mirathi kutoka.
Mama yangu alipata mtu ambaye alijitolea kua msimamizi wa mirathi, lakini baada ya Mirathi kutoka anadai kuwa kisheria Msimamizi wa mirathi inatakiwa apewe Thelusi moja ya thamani yote ya mirathi.
Je ni sahihi kisheria? Ni hayo tu ndugu zangu.
msimamizi wa mirathi hapaswi pewa hata sh. 10 maana ile ni usimamizi tu sio kupata benefit ya aina yeyote ile