The Conscious
JF-Expert Member
- Mar 18, 2021
- 740
- 1,218
Sawa mkuu nashkur sana kwa maelekezo ndoa za kidin zina mambo mengi sana alaf zinahitaj maandaliz ni bora nifanye ivyo mkuu chap napata chetChukua barua ya utambulisho kutoka serikali ya mtaa, wewe na mwenzako nenda kwa mkuu wa wilaya ukiwa na kitambulisho, mtaulizwa maswali kidogo, sio ya kidini, utalipa 50000, utasubiri tangazo libandikwe kwa wiki tatu, kisha mnapewa tarehe ya ndoa. Hakuna longolongo eti umelipa zaka, au mambo ya jumuiya ndogondogo.
Chukua barua ya utambulisho kutoka serikali ya mtaa, wewe na mwenzako nenda kwa mkuu wa wilaya ukiwa na kitambulisho, mtaulizwa maswali kidogo, sio ya kidini, utalipa 50000, utasubiri tangazo libandikwe kwa wiki tatu, kisha mnapewa tarehe ya ndoa. Hakuna longolongo eti umelipa zaka, au mambo ya jumuiya ndogondogo.
Apo mwenye kubandika tena ndiyo tatizoChukua barua ya utambulisho kutoka serikali ya mtaa, wewe na mwenzako nenda kwa mkuu wa wilaya ukiwa na kitambulisho, mtaulizwa maswali kidogo, sio ya kidini, utalipa 50000, utasubiri tangazo libandikwe kwa wiki tatu, kisha mnapewa tarehe ya ndoa. Hakuna longolongo eti umelipa zaka, au mambo ya jumuiya ndogondogo.
Nyongeza,aende na wasimamizi me na ke ambao ni wanandoa kama mashahidi,kama pia wana pete wazibebe ingawaje sio lazima,kuwa na ndoa inayotambulika ni raha sana,kila la kheri kwake huyo jombaChukua barua ya utambulisho kutoka serikali ya mtaa, wewe na mwenzako nenda kwa mkuu wa wilaya ukiwa na kitambulisho, mtaulizwa maswali kidogo, sio ya kidini, utalipa 50000, utasubiri tangazo libandikwe kwa wiki tatu, kisha mnapewa tarehe ya ndoa. Hakuna longolongo eti umelipa zaka, au mambo ya jumuiya ndogondogo.
Nenda ofisi ya mkuu wa wilaya ulipo ,unajaza form na huyo mkeo mtarajiwa na mashahidi wa pande mbili,yaani shahidi wako wa kiume na shahidi wa mchumba wako,itabandikwa kwenye tangazo la mkuu wa wilaya ndani ya siku ishirini na moja kama kunapingamizi,.Baada ya hizo siku kupita mnaenda kuapa ,tayari ndoa,gharama nadhani ni elfu kumi{10,000}Wakuu habari za majukumu.
Tafadhali kwa anayefahamu utaratibu wa kufunga ndoa ya Kiserikali naomba anieleweshe
Gharama zake zipoje na ni vitu gani vinahitajika ili niweze kufanikisha
Ninachohitaji zaidi ni cheti cha ndoa kama kuna member anafahamu utaratibu mwingine wa kupata cheti cha ndoa nje ya utaratibu wa kidini tafadhali naomba anisaidie kunielewesha
Jumui ndigo ndogo๐๐Chukua barua ya utambulisho kutoka serikali ya mtaa, wewe na mwenzako nenda kwa mkuu wa wilaya ukiwa na kitambulisho, mtaulizwa maswali kidogo, sio ya kidini, utalipa 50000, utasubiri tangazo libandikwe kwa wiki tatu, kisha mnapewa tarehe ya ndoa. Hakuna longolongo eti umelipa zaka, au mambo ya jumuiya ndogondogo.
Vitambulisho vya NIDA au?Chukua barua ya utambulisho kutoka serikali ya mtaa, wewe na mwenzako nenda kwa mkuu wa wilaya ukiwa na kitambulisho, mtaulizwa maswali kidogo, sio ya kidini, utalipa 50000, utasubiri tangazo libandikwe kwa wiki tatu, kisha mnapewa tarehe ya ndoa. Hakuna longolongo eti umelipa zaka, au mambo ya jumuiya ndogondogo.
๐Hapo tushakuchangia michango au lah?Safi sana. Halafu unaandaa kasherehe ka ndugu tu, na marafiki kidoooogo!
Michango ya kazi gani? Tshs Laki tano kuuuuubwaaa! Hadi mnasaza!๐Hapo tushakuchangia michango au lah?
Kitambulisho Cha NIDA muhimu sana sehemu nyingi siku hizi kuwa nacho muhimuVitambulisho vya NIDA au?
Hahah mkuu cheti cha ndoa ni muhim sana nmeona kitanisave kwenye ishu flanYani mkuu lengo lako ni kupata cheti tu na siyo maisha ya raha na karaha na huyo mpendwa wako.Hiyo ndoa naona itadumu kwa muda mfupi sana.
habari mkuu, Hope mnaendelea vizuri, suala lako la kutaka kufunga ndoa ya kiserekali ulikamilishaga, mm pia nahitaji kufanya hvo kwa ajili ya kumkatia mke bima ase. Nlikuwa naomba MuongozoHahah mkuu cheti cha ndoa ni muhim sana nmeona kitanisave kwenye ishu flan
Lakin muhim zaid ni kuw nahitaj kumsaidia huy manz ang nimtafutie bima ya afya maan naon kuna gharam naingia kumsaidia anapougua wakat nawez fany vitu kwa gharama kidogo na nikasave pakubw