The Next MP
Member
- Nov 15, 2023
- 71
- 119
Wakuu msaada kidogo hapa. Mimi nafanya biashara ya duka la vinywaji. Mwaka wa tatu huu.
Leseni huwa Kila ikiisha naenda TRA na Halmashauri ku-renew.
Sasa last time nimerenew itaisha mwezi wa 8 tareh 30 mwaka huu 2024. Cha ajabu amekuja Afisa biashara amechukua leseni anasema leseni niliyonayo na biashara iliyopo haviendani kwahiyo anataka nilipie tena.
Hii imekaaje na Kila mwaka leseni yangu ni hiyo na wanaadaa wenyewe.
Msaada kwa mwenye ujuzi wa haya mambo. Shukrani.