The Next MP
Member
- Nov 15, 2023
- 71
- 119
Hakuna tofauti ya Mtanzania na kondoo.Wakuu msaada kidogo hapa. Mimi nafanya biashara ya duka la vinywaji. Mwaka wa tatu huu.
Leseni huwa Kila ikiisha naenda TRA na Halmashauri ku-renew.
Sasa last time nimerenew itaisha mwezi wa 8 tareh 30 mwaka huu 2024. Cha ajabu amekuja Afisa biashara amechukua leseni anasema leseni niliyonayo na biashara iliyopo haviendani kwahiyo anataka nilipie tena.
Hii imekaaje na Kila mwaka leseni yangu ni hiyo na wanaadaa wenyewe.
Msaada kwa mwenye ujuzi wa haya mambo. Shukrani.
Nimeomba kuelewesha ndugu, hii tungo tataHakuna tofauti ya Mtanzania na kondoo.
Yeye maelezo yake anasema leseni inaonesha nafanya biashara ya duka la vinywaji dogo wakati ni kubwa. Nikamuuliza wakati nakata leseni si mlikuja kukagua wenyewe (Halmashauri). Wakaingia kwenye gari wako maaskari, mwisho kaniambia kama haitakuja Halmashauri kulipia, tutakuja kufunga biashara kwasababu hauna Leseni."leseni niliyonayo na biashara iliyopo haviendani kwahiyo anataka nilipie tena."
Ulimuomba maelezo ya kutosha huyo afisa kabla hujaja hapa? Au alichukua leseni akapita shwaaaaa!
Inaonekana biashara imekuwa na daraja la leseni limebadilika. Kwa maelezo yake.Yeye maelezo yake anasema leseni inaonesha nafanya biashara ya duka la vinywaji dogo wakati ni kubwa. Nikamuuliza wakati nakata leseni si mlikuja kukagua wenyewe (Halmashauri). Wakaingia kwenye gari wako maaskari, mwisho kaniambia kama haitakuja Halmashauri kulipia, tutakuja kufunga biashara kwasababu hauna Leseni.
Sawa hata Mimi nilielewa hivyo, Sasa kama ni hivyo kwanini asisubiri leseni iishe muda wake ninapokwenda ku-renew akija kukagua ndo anipe leseni inayoendana. Kunyanga'anya leseni katikati ya muda kabla haujaisha ni halali?Inaonekana biashara imekuwa na daraja la leseni limebadilika. Kwa maelezo yake.
Asante kwa ushauriSifanyi biashara physical ila huyo jamaa anakupiga mchana mkweupe. Nenda makao husika mkaongee vizuri.
Huyo ofisa ni mjinga tu anakutikisha umpe kitu kidogo. Muda uliobaki ni mfupi alitakiwa akwambie ikiisha utafute leseni ipi ilio sahihi.Wakuu msaada kidogo hapa. Mimi nafanya biashara ya duka la vinywaji. Mwaka wa tatu huu.
Leseni huwa Kila ikiisha naenda TRA na Halmashauri ku-renew.
Sasa last time nimerenew itaisha mwezi wa 8 tareh 30 mwaka huu 2024. Cha ajabu amekuja Afisa biashara amechukua leseni anasema leseni niliyonayo na biashara iliyopo haviendani kwahiyo anataka nilipie tena.
Hii imekaaje na Kila mwaka leseni yangu ni hiyo na wanaadaa wenyewe.
Msaada kwa mwenye ujuzi wa haya mambo. Shukrani.
Uko wilaya na mkoa gani?Mimi nilitaka kupiga mtu Panga, kupunguza hasira nikaona nije huku labda Kuna watu wanajua Sheria kuhusu haya mambo.
Wewe ni kondoo, wakija maofisa wengine wa TRA kukaguwa biashara utawaonesha leseni ipi?Nimeomba kuelewesha ndugu, hii tungo tata