Teamanaconda
JF-Expert Member
- Jun 21, 2013
- 602
- 564
pole mkuu hiyo ni balaa watu watamgegeda shemeji kiulainii..! Mzizimkavu njoo usaidie
Mkuu dawa ipo mikononi mwako mwenyewe..kwanza kabisa zingatia lishe bora,,vyakula vya wanga kama mihogo,viazi vitamu,matunda mboga mboga na juice ya miwa na maja ya madafu,pili tuliza akili yako unapokuwa kwenye tendo,,usipanic wala usimpanie sana mwenzio,ondoa wasiwasi na mshirikishe mwenzi wako juu ya tatizo hilo kwan naye pia ni sehem ya suluhisho,,! Baada ya tendo la kwanza hana budi kukupetipeti na kukuandaa kwa ajili ya tendo la pili..!
Piga goli moja uondoke na point tatu muhimu.
Hili tatizo limeanza kunitokea siku hizi, yani nikimaliza goli la kwanza basi goli la pili nitakaa sana mpaka uume usimame, sasa nikiwa katikati ya goli la pili uume unasinyaa kabsa,na pia goli la kwanza ndani ya dk 3 tu nimemaliza tayari sasa kama kuna mtu alishawahi kupata tatizo hili anisaidie alitumia dawa gani akapona.