Teamanaconda
JF-Expert Member
- Jun 21, 2013
- 602
- 564
Hili tatizo limeanza kunitokea siku hizi, yani nikimaliza goli la kwanza basi goli la pili nitakaa sana mpaka uume usimame, sasa nikiwa katikati ya goli la pili uume unasinyaa kabsa,na pia goli la kwanza ndani ya dk 3 tu nimemaliza tayari sasa kama kuna mtu alishawahi kupata tatizo hili anisaidie alitumia dawa gani akapona.