bishankara
Senior Member
- Feb 21, 2012
- 140
- 8
Wanajf hasa akina dada, naomba ushauri kuhusu lotion au mafuta gani mchumba wangu anaweza tumia ambayo yanalainisha ngozi na yanamantain weupe wake pasipo kumbadilisha. Kuna mtu kanishauri eti BODY WHITE ni nzuri lakn kashindwa kunielezea vizuri make ile ni cream. Kwa anayeifahamu vizuri hii cream naomba anieleze, na je siyo ya kujichubua make mpenzi wangu hataki za kujichubua.