NALO LITAPITA
JF-Expert Member
- Aug 25, 2011
- 333
- 90
Si usubiri unahalaka gani?
Kama wewe ni jambazi ,umewahi kuuwa,kuiba ,kubaka au kufanya uhalifu sehemu yeyote siku zilizopita ,basi usiende kuandikisha vitambulisho. Na uhame Tz kwani vikishakamilika,polisi au vyombo vya sheria vinaweza kuvamia sehemu yeyote ile na kudai vitambulisho hivyo vya National identity kama huna ni kosa.
Tena kosa unaweza kufukuzwa Nchini kwani utakuwa umepoteza Utanzania wako... Tetesi inasemekana marekani wamejitolea kuwachukua wale wasio na Vitambulisho vya uraia na kuwapa wao
Anataka kuchakachua taarifa, pengine ni mhalifu