NALO LITAPITA
JF-Expert Member
- Aug 25, 2011
- 333
- 90
Naomba kujuzwa ni details gani hasa zinaandikwa kwenye kitambulisho cha taifa?. Makarani wa sensa ambao kimsingi ndio makarani watakao andaa orodha ya wakazi wa mtaa orodha itakayotumika kuandaa vitamb ulisho vya taifa katika semina wameelekezwa kuandika jina la mtu, umri.elimu yake pamoja na tarehe al;iyoingia mtaani swali langu je kwenye kitambulisho ni information gani hasa zitawekwa?msaada wakuu