Msaada kuhusu vyakula na vinyaji kwa mtu anayefanya mazoezi

Mhenga2

Member
Joined
Jul 14, 2017
Posts
66
Reaction score
26
Habarini wahenga wenzangu na msio wahenga pia. Leo nauliza ni vyakula gani hasa na vinywaji ambavyo mtu anayefanya mazoezi anashauriwa kuvitumia? Naombeni majibu kwa anayefahamu
 
Da mkuuu safi sana na mimi nasubiri wataalamu waje watupe elimu ya vyakula sisi tunaopunguza izito kwa mazoezi.
 
Kwa mazoezi ya kawaida sidhani kama kuna chakula maalum zaidi ya kupunguza wanga, mafuta na sukari na kula protini ya ziada hasa baada ya mazoezi ili kulinda misuli isichakae. Vinywaji ni vile vile tu vya kawaida visivyo na sukari nyingi ya kuongezwa na maji ya kutosha. Kabla hujaanza mazoezi ni vyema sana ukamuone daktari upime afya na upate ushauri bora zaidi wa vyakula. Usije ukaanza mazoezi kumbe una presha ukaja kututoka. Kila mtu na mwili wake.
 
mimi nimeanza nina wiki sasa nakimbizana kupunguza kilo zaidi ya mia lakini nimeamua zipungue taratibu kwa wastani usiozidi kilo mbili kwa wiki ninachofanya:-
asubuhi nakula mchemsho wa mbogamboga kama nyanyachungu, bamia,njegere,kitunguu maji,giligilani, karoti labda na kipande cha ndizi au kiazi. baada ya muda kupita nakunywa maji asubuhi imepita.
baada ya hapo usile mpaka usikie njaa na ikiwezekana kabla ya kula hakikisha umekunywa maji mengi saa moja kabla ili kupunguza mzigo wa ugali mchana, unaweza kula vyovyote ila mboga ziwe nyingi kuliko ugali hapa namaanisha nyama sio tatizo kwako.
jioni unaweza kula matunda au ukarudi kwenye mchemsho wako wa asubuhi.
kwa kuwa umekuwa bonge kwa muda mrefu kwa sababu ya uroho wako kama mimi hivyo anza mazoezi taratibu sana na unaweza kwa kuanza kwa kutembea kwa muda usiopungua nusu saa za jioni na mazoezi madogomadogo kwa muda wa wiki mbili kisha ongeza mazoezi kadri ya muda unavyozidi.
ukiweza nenda likizo ya kinywaji bia na unaweza ukapata glass ya wine kila baada ya mlo hasa jioni, soda kaa nazo mbali, ukihitaji chai unaweza kutumia viungo kama mdarasini na mlonge achana na kahawa pamoja na majani ila punguza sukari japo ni vizuri ukatumia asali.
kama kawaida mganga hajigangi mimi ni mmoja ninayeshindwa kufuatilia mtililiko huu japo ulinisaidia sana wakati fulani. mfano hebu fikiria nina mtu naona naye muda si mrefu lakin yeye atakuwa anafuta safari baridi mimi napambana na simtank ya maji kwa kweli it need heart
 
Hongera mkuu.... Maji ya moto yaani ukiweza kunywa haya asubuhi na jioni utashangaa
 
Habarini wahenga wenzangu na msio wahenga pia. Leo nauliza ni vyakula gani hasa na vinywaji ambavyo mtu anayefanya mazoezi anashauriwa kuvitumia? Naombeni majibu kwa anayefahamu

Punguza wanga hasa usiku kula vegetables nyingi na matunda plus maji mengi..kama kweli unafanya mazoezi na yanakuingia basi usikae bila kula ..kula kawaida tu ila ndio hivyo punguza wanga sukari na mafuta
 
Achana kabisa na pombe kama unataka kupunguza uzito na unywe maji mengi hata litre nne kwa siku kama utaweza
 
Asante sana jombaa
 
mimi nimeanza nina wiki sasa nakimbizana kupunguza kilo zaidi ya mia lakini nimeamua zipungue taratibu kwa wastani usiozidi kilo mbili kwa wiki ninachofanya:-
asubuhi nakula mchemsho wa mbogamboga kama nyanyachungu, bamia,njegere,kitunguu maji,giligilani, karoti labda na kipande cha ndizi au kiazi. baada ya muda kupita nakunywa maji asubuhi imepita.
baada ya hapo usile mpaka usikie njaa na ikiwezekana kabla ya kula hakikisha umekunywa maji mengi saa moja kabla ili kupunguza mzigo wa ugali mchana, unaweza kula vyovyote ila mboga ziwe nyingi kuliko ugali hapa namaanisha nyama sio tatizo kwako.
jioni unaweza kula matunda au ukarudi kwenye mchemsho wako wa asubuhi.
kwa kuwa umekuwa bonge kwa muda mrefu kwa sababu ya uroho wako kama mimi hivyo anza mazoezi taratibu sana na unaweza kwa kuanza kwa kutembea kwa muda usiopungua nusu saa za jioni na mazoezi madogomadogo kwa muda wa wiki mbili kisha ongeza mazoezi kadri ya muda unavyozidi.
ukiweza nenda likizo ya kinywaji bia na unaweza ukapata glass ya wine kila baada ya mlo hasa jioni, soda kaa nazo mbali, ukihitaji chai unaweza kutumia viungo kama mdarasini na mlonge achana na kahawa pamoja na majani ila punguza sukari japo ni vizuri ukatumia asali.
kama kawaida mganga hajigangi mimi ni mmoja ninayeshindwa kufuatilia mtililiko huu japo ulinisaidia sana wakati fulani. mfano hebu fikiria nina mtu naona naye muda si mrefu lakin yeye atakuwa anafuta safari baridi mimi napambana na simtank ya maji kwa kweli it need heart
Thank you much chief this is amazing
 
Angalau asubuh upate kipande cha parachichi,yai la kienyeji na mhogo/kiazi/gimbi bila kusahau kuamka na maji nusu lita kabla ya kula..punguza wanga..kula nuts kwa sana...ma bidhaa ya viwandani no no no...
 
Habarini wahenga wenzangu na msio wahenga pia. Leo nauliza ni vyakula gani hasa na vinywaji ambavyo mtu anayefanya mazoezi anashauriwa kuvitumia? Naombeni majibu kwa anayefahamu
Habarini wahenga wenzangu na msio wahenga pia. Leo nauliza ni vyakula gani hasa na vinywaji ambavyo mtu anayefanya mazoezi anashauriwa kuvitumia? Naombeni majibu kwa anayefahamu
 
Achana kabisa na pombe kama unataka kupunguza uzito na unywe maji mengi hata litre nne kwa siku kama utaweza
mimi napenda kunywa maji/ huwa nakunywa mengi sana lakini nahisi kama nikinywa tumbo langu linakua
japo nimejitahidi sana kutopata kitambi kikubwa
nashinwa kabisa kuacha soda hasa pepsi aisee
jioni/usiku huwa sili kwa miaka kama 7 iliyopita hivi
 
Back
Top Bottom