Uncle Jei Jei
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 1,684
- 2,156
Asalaam wana Jf, tafadhali naomba mnisaidie kufaham vyakula, matunda au vinywaji vinavyoweza kusaidia kusafisha figo kwani mara kwa mara nikipima mkojo naambiwa kuna protini nyingi hivyo kuashiria tatizo kwenye figo japo najitahidi sana kunywa maji mengi! Natanguliza shukrani zangu.