Ndugu wana jamvi,
Naombeni kujua vyuo vinavyotoa kozi za ict ngazi ya certificate au diploma kwa hapa tanzania ,kwa njia ya mtandao.
Nb.nina bachelor katika fani nyingine,o level nina C ya hesabu na D ya physics je naweza kuanza na diploma au certificate msaada tafadhali kwa mnajua hili