msaada kuhusu vyuo vya ualimu

msaada kuhusu vyuo vya ualimu

tendega

Member
Joined
Jun 19, 2013
Posts
61
Reaction score
13
hiv ukisoma chuo cha ualimu private, kwa ngazi ya cheti,unaweza kuajiliwa ktk shule za serikali? nifahamishen wadau
 
Vilevile kumbuka kuthibitisha kama Chuo kimesajiriwa na Mamlaka husika kama NACTE n.k. Vyuo vingine magumashi!
 
Back
Top Bottom