Msaada kuhusu waliochaguliwa kusoma diploma ya elimu UDOM

Msaada kuhusu waliochaguliwa kusoma diploma ya elimu UDOM

mimi_wewe

Member
Joined
Jul 27, 2014
Posts
70
Reaction score
17
Naomba msaada wenu wana forum,kwa ninavyojua maisha ya chuo kikuu tofauti na skuli fee huwa kuna garama nyingi kama chakula na hostel na kwa mazingira ya udom ni lazima ujigaramie kwa chakula na hostel.

Vipi kuna muongozo wowote kuhusu mkopo wa serikali!!?
 
Hapana sijafanya chochote asee@cryt field!!vp nimechelewa na muongozo upoje!!?
 
Mbna walitoa kuomba mkopo toka tar1aug ad 10sept. .kwa masomo ya sayanc vp nikulize wew uliomba?

Kwa wale walioomba kujiunga na diploma hiyo kupitia nacte suala la kuomba mkopo lilitangazwa. Lakini kuna wale wapatao 4000 waliochaguliwa Diploma hii ya UDOM kwa kupitia wizara ya elimu (waliandika barua za maombi ya kujiunga na mafunzo ya ualimu ngazi ya stashahada kwa masomo ya sayansi/hisabati), hawa haijajulikana hatma yao kuhusu mikopo kwa sababu nina uhakika hakuna hata mmoja aliyeomba mkopo
 
Tatizo nikwamba wizara wanajisahau wakijua kila mtu ana uwezo wa ku acses intanet,wakati kuna radio na tv,ikumbukwe kua hao ni madogo hata uelewa wao stil hafifu maana ni kidato cha 4 na wengi wanatokea vijijini.

So pain coz dogo kashakosa mkopo hivyo!!
 
Back
Top Bottom