Msaada kuhusu wi-fi

Msaada kuhusu wi-fi

Vishu Mtata

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2019
Posts
15,954
Reaction score
35,415
Habari za majukumu wadau.

Ndgu yenu simu yangu hii napata mkanganyiko kutumia wi-fi.
Naomba mnijuze nifanye utundu gani niwe najiunga aisee, sometimes hata mtu akiniwashia hotspot basi mpaka kuunganisha hapo ni kisanga kinoma. Mpaka sijui uscan QR code, sasa ni freewife ya mahali fulani labda, hiyo QR code unaitolea wapi? Kwahiyo ni changamoto.

Mficha uchi hazai jama simu yangu ni infinix .
 
Back
Top Bottom