Msaada kuhuusu matokeo ya udom

Msaada kuhuusu matokeo ya udom

Joined
Sep 1, 2012
Posts
13
Reaction score
0
Samahani wa ungwana udom walisema katikati ya wiki hii watatoa majina yaliobaki je?kunayeyote ambaye ana update yeyote?
 
Kama uli chaguliwa second round huko jarinu kuingia katika website ya chuo kisha click ALIS then utaona maelezo kua ujaze form 4 index No yako na Password Jina la baba kwa HERUFI KUBWA, kama ukifanikiwa utapata barua yako.
kama huwezi niPM form four index No yako na full namevuako ntakusaidia kuangalia.
 
Niliongea nao, wamesema leo wataya upload, na sasa iv site yao haifunguki, naona mzigo unapandishwa, sio second round tu, hata 1st round ambao hawakuona majina yao kwenye website yao!
 
tayari mwenyewe 1st tym ckuona k2 lakni jana jna langu nililiona na admision 4m nimepata
 
kweli dom wana upload haya majina manake kitambo kweli website yao haifunguki mpaka saiv, mi mwenyewe ni miongoni mwa wale ambao na hawajapata admission letter nina subiri kwa hamu
 
Hata mimi nasubiri maana wamenitransfer kunipeleka udom na wale ambao majina yao hayamo kwenye list huwez log in mpaka tusubiri hayo majina yawekwe.
 
kweli dom wana upload haya majina manake kitambo kweli website yao haifunguki mpaka saiv, mi mwenyewe ni miongoni mwa wale ambao na hawajapata admission letter nina subiri kwa hamu

web inafunguka lkn no any new information
 
Back
Top Bottom