Msaada: Kuikabili HANGOVER Jumatatu!

Kamanda nilishasema mtu ambaye atahitaji kushiriki karamu hizi aniPM. Ila masharti ni kuwa kama unakunywa bia chini ya 15 usije. Nitakuagizia huko huko uliko. Nataka watu walio serious na ulipaji wa kodi ya serkikali through some number of bottles of cold beer.

sasa mkuu, ukipiga tuskeri na wadada watakunywa nn? we piga safari bana!! inarudisha heshima ati!!
Hahahaha! Labda anachangaya na nyagi bapa kazaa. Kaka taratibu hapo, hivi vichwa havilingani kama vilivyo vidole.

Hilo angalizo hapo kwenye bold litazingatiwa kama itifaki. Dah! Ukila hivyo vitu halafu ukamimina na bia kadhaa mazee. Kama si kutapika basi huo ush'uzi utakaoutoa kesho yake, nzi watakuwa hawachezi mbali na wewe....

What hapo kwenye red you people are overdoing jamani nikwamba the next day kiwanda kitakuwa kimefungwa au?
Dada unapopata nafasi ya kunywa biere kunywa them as much as you can. Unakunywa kulipizia na zile utakazozimisi siku ukiwa kwenye kifungo cha antibayotiks, flagil, klorokwini, metakelfini,fansida na ndugu zao.
 
weweee......koma kabisa, watu tusififanye tuyapendayo kwa raha zetu!!
mbona wazee wa kilimo kwanza huwa wanang'ang'ania kifuani na kugeuza geuza style zote kama vile hiyo kitumbua haitakuwepo kesho yake!!
Hahahahaha! laiti vitumbua vingekuwa vinaisha.......................

honey, ckujua kaam una mambo mazuri hivi weekend jamani halafu ukakaa kimya bila hata kunitonya, nimeckitishwa sana na hiki kitendo.
Usijali luv, will kol you shortly. Lakini punguza unoko japo kiduchu basi
 
Hili ni neno la busara sana. Ubarikiwe mtumishi wa Bwana. Ila nikifukuzwa kazi kina matesha nukuletea uwalee.
mkuu nilishakoswa koswa na hali kama hiyo siku moja,nilitandika mtungi sawasawa jumapili halafu mshkaji mmoja akanipigia simu ya dili fulani nikamwambia mwenyewe "niko bwii kishenz hatuwezi kuongea`",kumbe wakati nabishana nae aliweka loud speaker halafu alikua yuko na bosi mkuu ,jtatu gari ikagoma kuamka kuwahi ofisi bana,bosi akaniuliza vp mbona huonekani?si nikapiga fix kama pumu imenibana ghafla asubuhi siwezi hata kuongea,dah mkuu bosi akaja juu akanieleza mpaka sehemu niliokuwa nakata masanga na simu niliyopokea kila nilichoongea ebana nilikua mpole sana,kidogo kibarua kiote nyasi mkuu toka hapo niko mwangalifu sana na bwii la jumapili,ijumaa na jumamosi aaah nalipakia kama sina akili nzuri.:frown:
 
kUNYWA KONYAGI CHUPA 4 KUBWA NA BIA SAFARI KAMA 8 u will do great on monday
 

Hahahaha! dah kiongozi hiyo ilikuwa kali! si ndo maana naomba maushauri yenu mazee? kibarua kizuri na bia tamu. Hell! I can't say no to BEER!
 
kUNYWA KONYAGI CHUPA 4 KUBWA NA BIA SAFARI KAMA 8 u will do great on monday
Ndugu yangu mbona unanikumbushia dozi za enzi nikiwa sekandari skuli?
 
Kamanda kuna line ya blue nimeongezea hapo:

 
Kabla sijajibu thread mbona hujanialika kwenye harusi eeeeee??? MAmbo gani hayo Kaka Mkubwa kwenda kwenye harusi peke yako??? Si vizuri mwone kwanza
 
Kabla sijajibu thread mbona hujanialika kwenye harusi eeeeee??? MAmbo gani hayo Kaka Mkubwa kwenda kwenye harusi peke yako??? Si vizuri mwone kwanza

Wewe sina haja ya kukualika. Ntakupitia hapo home fasta. Vipi umeshaoga tayari nije?
 
hahahahahahahahahah!
NOTED,WELL FILED

ngoja niwahi home nikamtoe mshiki leo na kesho mchana ili kuanzia jioni TUSITAFUTANE.............
si unajua mambo ya INFIDELITY?
 
Wewe sina haja ya kukualika. Ntakupitia hapo home fasta. Vipi umeshaoga tayari nije?

Kuoga bado ndo kwanza nafungua vifungo vya shati halafu nifuate zipu ya suruali halafu tubane nywele zisiingie maji halafu nifungue vifungo vya....r...... halafu......p.........halafu niingie bafuni.........
 
Kuoga bado ndo kwanza nafungua vifungo vya shati halafu nifuate zipu ya suruali halafu tubane nywele zisiingie maji halafu nifungue vifungo vya....r...... halafu......p.........halafu niingie bafuni.........
Ahaa! Basi ngoja nikusubiri. Ila usipake ule mlipustiki wako mwekundu!
 
hahahahahahahahahah!
NOTED,WELL FILED

ngoja niwahi home nikamtoe mshiki leo na kesho mchana ili kuanzia jioni TUSITAFUTANE.............
si unajua mambo ya INFIDELITY?
Hahahaha! Hapo nimecheka kwa sauti!

BTW we una kiu Jumapili? Mtoto wa bwashee mwenzio wa Osheniki tunamnywea Jumapili......
 
Hahahaha! Hapo nimecheka kwa sauti!

BTW we una kiu Jumapili? Mtoto wa bwashee mwenzio wa Osheniki tunamnywea Jumapili......
MPWA unauliza midevu kwa osama?
ninachokifanya hapa nikuikabili INFIDELITY THEORY ili ninywe bia kwa raha zangu.....

nitafutie na gesti ya kupumzika wakazi wa kimara maanake nikiondoka kesho jioni see you jumatatuuuuuuu!
(NAAGA NAENDA KIGOMA)
equation ya infidelity SOLVED
 

Hahahaha! Kwa mahesabu hayo INFIDELITY IS THERE TO STAY! ALWAYS AND FOREVER!
 

ndugu yangu, njia yake hiyo ni kuchapa supu ya kongoro three hours kabla ya valeur, na ikifika one hour kabla choma nyama ya ng'ombe au kitimoto na ndizi... washa pombe utakavyo na wanasema "nduru" japo kamooooja tu!!! hupunguza mning'inio wa ziada

ikiwa bado utaamka na hangover, call sick, chapa lapa hadi bar, anza upya, pombe ikichanganya basi changanya kongoro hadi hom, lala!!!

jay four itakua murua il

' hali!!!

KARIBU LEO TUPATE JUISI YA MOLASESS INDOOR PUB...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…