Msaada: Kuikabili HANGOVER Jumatatu!

mpwa naufuatilia huu mualiko...........
nasubiri confirmation kwa simu
 
nitakupitishia Big G na ndizi Mbivu wakati naenda kwenye kijiwe changu pale migomigo ......
Ndizi mbivu tena? Itapitia wapi?

eeh! hata siku 2 hazijapita za sredi ya carmel.....kweli this is here to stay lol:rofl:
Kakague kule hommie. Ile kitu ilisimikwa na mababu zetu. Kilichosimikwa kimesimikwa!

yaaani wewe na Avatar yako unafaa kumpa Xpin company mkisaidiana na Geoff na Fidel80

You can say that again....
 
Mimi ndio dawa yako.Nitahakikisha hivyo virusi vya hengiova havikupati.
hehehe!
i hope kaizer and company HAWAJAKUELEWA TOFAUTI kama vile ninavyopingana na uwezo wangu wa kutafasiri sentensi
ai miiin naamini hapa kaizer hajasoma katikati ya mistari
 
ahahahaha umrnivunja mbavu mwana wa mwenzio
 
Ahsante kwa lekcha nzuri namna hii. Hapa naona kama nimepata PhD!

mpwa naufuatilia huu mualiko...........
nasubiri confirmation kwa simu
:target::drum:

HEHEHEHEHE!
topik kama hizi kaizer lazima atue box aje kuchangia

habari za ubeligiji mkuu kaizer?
Topic muhimu za kwa maendeleo ya Taifa. Kunywa bia. Lipa kodi kwa maendeleo ya Taifa kupitia Bia.
 
weweee......koma kabisa, watu tusififanye tuyapendayo kwa raha zetu!!
mbona wazee wa kilimo kwanza huwa wanang'ang'ania kifuani na kugeuza geuza style zote kama vile hiyo kitumbua haitakuwepo kesho yake!!

Haya baba.
 
HEHEHEHEHE!
topik kama hizi kaizer lazima atue box aje kuchangia

habari za ubeligiji mkuu kaizer?


aaah..maboksi yalianza tangu zamani...huku ni summer tyme.. ..watu wanapozungumzia maslahi lazima uchungulie kidogo mpwa....:A S clock:
 
hehehehe!halafu na wewe natamani siku moja tudumishe desturi pamoja
Hapo nimesoma chini ya mistari. Hivi mila na desturi ni vitu vya aina moja? au ndio utamaduni huo huo?

INFIDELITY is there to STAY ............. Ili mradi wasijue:drum::drum::drum:
 
Kwani hii sredi ya Carmel ilikuwa inasemaje? naomba summary shemeji.

eti shemeji, Carmel anadai kuwa shemeji yetu hajawahi kucheat na ana uhakika nalo hilo....

Siye tunabaki tu kwamba anajuaje? apo ndo mtihani

wengine wetu wakosefu hatujanyanyua jiwe tumeondoka pole pole tukamwacha Yesu na mwanamke aliyepelekwa kwake.....umenisoma shemeji eeh?
 
TOBA!!!! tiangalieangalie jameni, tisije tikaleta tifu kwa wenzhetu ayi
 

YEOMIIIIIIIIIIIIIIIIII!!!
sijasoma wala!!
 
TOBA!!!! tiangalieangalie jameni, tisije tikaleta tifu kwa wenzhetu ayi


hahah mkulu DN naona unasoma katikati ya mistari apo...huyu tea'tea ata sijui kutamka jina lake ngoja nitamwomba twisheni ya pronounciation....:behindsofa:
 
we B nini sasa...weekend iyo twen zetu!:A S clock:
wapi B kufanya makatazo????
hapana, mimi sicheat wala B hacheat
watakatifu in the making!!!!!!!!!!!!!!!!!
lolz!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…