Msaada: Kuikabili HANGOVER Jumatatu!

Umesahau gradyuesheni yako kesho Ushoto?

hahaaa wewe ni makamba??? hebu tamka vizuri!!!!

agradueti hata fomu za kujiunga hajachukua??? ufisadi gani huu sasa!!
 
he he hee,mi nishalamba zote mlizoweka majina hapa,sasa hivi nakula bolingo"purkututu mame aah mee lober"beloo beloo ah beloo be,mambo ya titanike.raha tupu.
ale makaba mupeeee,maboko likolooo,yunganaeee yunganaee kati yoobana kolela mavugile leloo mavugile yooo.olingiokoto yaovele okuto singi.mazee nimejaribu tuu rap ya tutu kaludji.nani alikuwerpo kipindi ile kilimanjaro hotel wakati wenge inachapa mambo pale pool side?tukumbushane
 
Last edited by a moderator:
Zote walizo kwambia ni kweli lakini ukweli harisi wa kukabili hizo hangover ni huu......ukirudi toka kupombeka usiruhusu fan wala Ac ikupepee wakati ukiwa umelala....jifunike gubi gubi tena kama unashuka nzito itakuwa pouwa..mimi huwa napiga push up jasho linauwezo wa kutoa amount kubwa ya bia kuliko kitu chochote...chukulia mfano ukiwa unakunywa huku unacheza muziki kwa mzux umeshaona ukilewa thats wht am talking abot...
 
Mhe Xpin jibu langu lilikuwa hapo kwenye red ila kwakuwa umeshakataa basi tena.
 
Hahahaha! mpwa we utakaribishwa kwa kustukiza.

Ebwanae, hivi unajua sina hobi ya kupata misosi? Mi kazi yangu ni kunywa tu. chakula wanakula kina mama na watoto.
Dah! hapo pa red nimepapenda bure jama
 
ACHA TU NDUGU YANGU!
hahahahahaha!
WE ACHA TU

INFIDELITY HOYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
 

dawa ni ndizi za kuiva(tunda) , matango na maji mengi kabla hujalala.
 
ACHA TU NDUGU YANGU!
hahahahahaha!
WE ACHA TU

INFIDELITY HOYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
Noted with many thanks.........................
 
hede hede hedeeee......hede twilumba hedeeeeeeeee:A S clock:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…