Kwa wale wadau wa Forex naombeni maujanja ya kuikuza account yangu ya forex kutoka $250 mpaka $1000 ndani ya mwezi mmoja maana naona kama mimi mwenyewe siwezi.
Nina miezi mitatu sasa natrade lakini account haikui kabisa kwani naweza kupata $40 leo kesho nikapoteza $60, nimejaribu kukomaa na pair mbili tu yani EURUSD & USDJPY kwani nimeona angalau zenyewe hazinipigishi sana loss kwa kuwa zinatabirika.
Kuhusu uelewa wangu kwenye hizi issue za forex ni wa kiwango cha kati ila bado najifunza vitu vingine mdogo mdogo.