Msaada kuikuza account yangu ya forex

Msaada kuikuza account yangu ya forex

Kwa wale wadau wa Forex naombeni maujanja ya kuikuza account yangu ya forex kutoka $250 mpaka $1000 ndani ya mwezi mmoja maana naona kama mimi mwenyewe siwezi.

Nina miezi mitatu sasa natrade lakini account haikui kabisa kwani naweza kupata $40 leo kesho nikapoteza $60, nimejaribu kukomaa na pair mbili tu yani EURUSD & USDJPY kwani nimeona angalau zenyewe hazinipigishi sana loss kwa kuwa zinatabirika.

Kuhusu uelewa wangu kwenye hizi issue za forex ni wa kiwango cha kati ila bado najifunza vitu vingine mdogo mdogo.
Ukitoboa ufike 1000usd ume win hapo ni wewe tu sasa.
 
#Jipatie

Logo kwa Tsh. 35000,

Flyers na Posters kwa 20000,

Brochures kwa 30000,

Business Card pc 110 kwa 35000

Tunafanya kazi zote za Graphic Designing,

Pia tunafanya Video Editing & Making.

Tucheki #0620275619

#NipeDili
 
Forex ni game ya kuRisk + Knowledge. Tafuta strategy yako mwenyewe ambayo ita work kwako. Strategy inayofanya kazi kwa mtu mwingine inaweza isifanye kazi kwako kwa sababu Forex inahusisha psychology ya hela ambayo tunatofautina.....na ukiipata hyo strategy ukipata loss siku moja usihame kuhangaika kutafuta
Mfano mimi natumia pure Price Action

1. Chart patterns
2. Trendline, Resistance & Support
3. Breakoutand Retest
4. Fibonacci retracements
5. Money management

High risk, high returns, ujue pa kuingilia, na pa kutokea na uwe na strategy yako mwenyewe... Hamna holy graily ya Forex ndo mana ww unaweza ukasell GU na mimi nka Buy, wote tukapata profit kutokana na ulipoingilia na ulipotokea.
View attachment 1547938View attachment 1547939View attachment 1547941
Price action tamu sana ukiielewa mwenyewe naikubali na ndio naishi nayo kwasasa na kuna jamaa Youtube anaitwa RocksFx anatoa contents za maana sana.

Sasa kuna strategy nyingine bado naifanyia kazi hopefull itawin kwa sababu haina tofauti sana na price action.
 
Back
Top Bottom