Msaada: Kujifunza simple makeup

Msaada: Kujifunza simple makeup

KOTINA

Member
Joined
Aug 14, 2017
Posts
87
Reaction score
137
Habari wapendwa,
Natamani sana kujua jinsi ya kupaka makeup the basics tu, kila nikiangalia you tube videos za simple makeup naona makorokoro mengi mara foundation, primer, eye cream, lip liner na kila kitu kina brush yake hapo ndo nachanganyikiwa zaidi,
mwenye kujua jinsi ya kupaka niwe natural tu wenyewe wanaita a no make up make up look msaada wapendwa. natanguliza shukrani za dhati.
 
Back
Top Bottom