lidoda
JF-Expert Member
- Apr 27, 2008
- 641
- 574
Wakuu mimi ni mmoja wa wakurugenzi wa kampuni fulani. Tuko wakurugenzi kama wanne. Tatizo liko katika uendeshaji wa kampuni yetu ambayo ni Limited. Upeo wetu wetu umetofautiana na mara nyingi huwa kampuni haifanyi kazi vizuri ya kupata faida inayotakiwa.
Sababu hiyo nilioitaja hapo juu, nilitaka nifahamishwe nifanyeje kusudi nijitoe katika kampuni kisheria na sina haja ya kudai chochote kutoka kampuni tulioanzisha.
Ushauri wenu ni muhimu sana kwangu
Sababu hiyo nilioitaja hapo juu, nilitaka nifahamishwe nifanyeje kusudi nijitoe katika kampuni kisheria na sina haja ya kudai chochote kutoka kampuni tulioanzisha.
Ushauri wenu ni muhimu sana kwangu