Wanajamvi naomba kufahamu kama kuna uwezekano wa kujiunga na chuo (Ngazi ya cheti ugavi) Mimi ni muajiriwa kwa mda mrefu kidogo serikalini(Elimu yangu ni form 4,dvsn 4 ya 32 mwaka 2005 nimefauru D 3 masomo ya GEOGRAPH,KISWAHILI, CIVICS) Nisaidieni.

wanajamii naomba kuuliza nilisoma diploma education sayansi PG. ufaulu wangu n GPA 2.9. NAWEZA KUJIUNGA NA CHUO KIKUU KUSOMA EDUCATION PHYSICS MAJOR NA GEOG MINOR. ILA ADVANCE PHYSICS NNA S.