Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanajamvi naomba kufahamu kama kuna uwezekano wa kujiunga na chuo (Ngazi ya cheti ugavi) Mimi ni muajiriwa kwa mda mrefu kidogo serikalini(Elimu yangu ni form 4,dvsn 4 ya 32 mwaka 2005 nimefauru D 3 masomo ya GEOGRAPH,KISWAHILI, CIVICS) Nisaidieni.
vyuo vipo utapata,vya private ni rahisi zaidi.ELIMU ni pesa tu.