Msaada kujua Accounting Package Bora kwa SME

Msaada kujua Accounting Package Bora kwa SME

eft

New Member
Joined
Oct 21, 2017
Posts
1
Reaction score
0
Habari Wadau naombeni nisaidiwe kujua accounting package ipi ni bora kwa SME ili niweze kufanya maamuzi sahihi kuinunua!!
Naweza kujua makampuni yanayouza hizo software hapa tanzania? Market share zao and Size?
na bei za hizo package na benefit nitakazopata kwa kuchagua kampuni moja badala ya nyingine?
Asanteni Sana
 
Back
Top Bottom