Msaada kujua bei ya bati migongo mipana (ALAF) gauge 28 na 30.

Msaada kujua bei ya bati migongo mipana (ALAF) gauge 28 na 30.

Subiri waje

Wataalaam wa ujenzi. Ila ni vema pia ukaenda hardware ya karibu kuuliza maana sometime bei hutofautiana kutokana na eneo na eneo.

Unaweza tajiwa bei ya DSM kumbe upo bukoba
 
Back
Top Bottom