Msaada kujua gharama ya kufyatua tofali 4,800

Achana na standards za kiwanda wewe, that’s way too perfect... eti water should be clean, sand should be dry!!

Uliona wapi?

Hapa tunaongea uhalisia huku saiti na sio kwenye makaratasi.
 
Huu ndo ukweli, nilifyatua tofali zangu 40 kwa mfuko na zilikuwa juu ya kiwango.... za mtaani zote ni 50 na zinatumika kila siku hatuoni hiki wanachoita kupukutika.

Hayo ni mawazo ya mtu asiyewahi kujenga, na ndiyo chanzo cha kujipa hofu.
Ni kweli mkuu. Wauza tofali wanafyatua 60 na zaidi hapo kwenye 50 umewapendelea sana.
 
Achana na standards za kiwanda wewe, that’s way too perfect... eti water should be clean, sand should be dry!!

Uliona wapi?

Hapa tunaongea uhalisia huku saiti na sio kwenye makaratasi.
Haya ndio walitaka kumletea Magufuli wakati wa kujenga bwawa la Nyerere. Ulichosema ni kweli tupu hakuna kitu hapo. Water should be clean for what?

Ni kutisha watu tu wakati vitu vinawezekana
 
Kama ulikuwepo vile...yaani tulikuwa tunapiga tofali 30 kwa mfuko ngoma inapanda tuu bila wasiwasi...hapo foreman ananiambia mzee hili ghorofa kwa tofali hizi mbona mpaka wajukuu
Unafahamu kuna nyumba zimejengwa na tofali 50+ kutoka kwenye mfuko mmoja wa cement na ni imara na hazijawahi kuleta shida kwa zaidi ya miaka 50 kwenye nyumba?

Acheni kukariri, tafuteni maarifa
 
Haya ndio walitaka kumletea Magufuli wakati wa kujenga bwawa la Nyerere. Ulichosema ni kweli tupu hakuna kitu hapo. Water should be clean for what?

Ni kutisha watu tu wakati vitu vinawezekana

Magufuli huyo huyo ndiye aliyeingiza siasa na kuishia kupata hosteli zenye "expansion joint" pale udsm (jalalani).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…