Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 7,755
- 11,737
Hata hawa wanatuuzia ndivyo wanavyotoa!Wanatumia cement yenye 42.5sijui nini huko na kuna aina ya mchanga wanachanganya,fanya tuu utafiti kwa mafundi maiko.Mkuu tofali 45 kwa mfuko 1 wa cement ni kawaida na matofali yanatoka imara
Ndio na huwa yanakuwa imara tu