Msaada kujua gharama ya kufyatua tofali 4,800

Msaada kujua gharama ya kufyatua tofali 4,800

Upo wapi mkuu?

Kila mfuko mmoja wa cement toa tofali 45.

Mchanga utahitaji wastani wa lorry 18 za ujazo wa 4.7mm3.

Gharama ya kufyatua mfuko mmoja wa cement ina range 5000-7000

Kwa ushauri zaidi nicheki PM
mmh tofali 45 kwa mfuko mkuu
 
Hata hawa wanatuuzia ndivyo wanavyotoa!Wanatumia cement yenye 42.5sijui nini huko na kuna aina ya mchanga wanachanganya,fanya tuu utafiti kwa mafundi maiko.
yaap 42.5 alafu kuna mchanga mwembamba na mnene so far tofali inakuwa imara sana
 
Back
Top Bottom