Mkuu tatizo bado, ilianza kustuck nikaona ni hard reset, baada ya hapo ikawa hivyo. Na nikiingia ktk device information nakuta kuna rom version na date yake,lakini radio rom versiom na protocol viko nil.
Na ninapowasha inatoke no gsm
Nimejaribu kugoogle sana nikapata site moja xda-developer.com nikagundua radio rom imecorrupt hivyo natakiwa niifanyie full rom upgrade au radio only upgration, na ilikukamilisha hilo zoezi all u need is computer, usb cable,some software to download na utaalam, ninachokosa mimi ni utaalamu
kama upo vizuri ntashukuru ukinipa mwongozo,na ukiweza tembelea hiyo forum na usearch "no gsm" au "corrupt radio"for htc hermes or herm300 ni majina ya hiyo simu
nilijaribu nikashindwa simu ikastuc kabisa hata hivyo kwa msaada wa memba nikairudisha kawaida lakini no calls
naomba tembelea hapa
HTC Hermes - XDA-Developers kisha nenda upgrading for beginners na hermers upgrading guide
natumai kama nimjuzi kidogo wa pc utanisaidia kunyumbulisha inavyotakiwa
thanx in advance for your time