Wadau msaada wenu tafadhali simu yangu T-Mobile MDA Vario 2 imepoteza network baada ya kuifanyia hard reset, hakuna kupiga wala kupokea simu,hakuna net wala massege ya aina yoyote,
baada ya ku google sana inaonekana initatizo linalotaka mtaalamu kulitatua ,maana imekufa radio rom,
Kama ikitokea mwenye ujuzi nalo ntashukuru, lakini kikubwa ni kutaka kujua ni duka gani au mafundi gani hapa Dar wenye ujuzi na utalaamu wa kutengeneza simu complicated, nimeambiwa kuna duka somewhere at Samora lakini sijalipata vizuri, mafundi wa mtaani wengi wamechemsha
Your assistance will be highly appreciated