Crumpy Crumper
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 2,348
- 3,305
hili ndio tatizo lako, acha kushangaa shangaa madem mitaaniNaweza kutembea barabarani ukiona mwanamke kakaa vibayaa basi tayari anataka kusimama
Kama mfuko wake umenona aendelee tu kutazama, kuna ulipaji wa kodi kwa ajili ya maendeleo. Anunue condom tu kwa wingi mukuluuuu anahitaji kodi yake
Kabake tu utaona zinavyoishaNiaje?? E bwana weee wife kasafiri ana kama wiki na nusu hivii tangu asafiri sasa mzee baba anataka papuch yake mpaka shidaaa!! Naweza kutembea barabarani ukiona mwanamke kakaa vibayaa basi tayari anataka kusimama yaani imekua kero wallah... msaada jinsi ya kukabiliana na hali hii na kuchepuka siwezi Namuogopa Mungu... na kuoa mke wa 2 siwezi kutokana na hali yangu ya kiuchumi...
Sent using Jamii Forums mobile app