Msaada! Kukabiliana na Nyegezi

Msaada! Kukabiliana na Nyegezi

Niaje?? E bwana weee wife kasafiri ana kama wiki na nusu hivii tangu asafiri sasa mzee baba anataka papuch yake mpaka shidaaa!! Naweza kutembea barabarani ukiona mwanamke kakaa vibayaa basi tayari anataka kusimama yaani imekua kero wallah... msaada jinsi ya kukabiliana na hali hii na kuchepuka siwezi Namuogopa Mungu... na kuoa mke wa 2 siwezi kutokana na hali yangu ya kiuchumi...

Sent using Jamii Forums mobile app
Kabake tu utaona zinavyoisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom