Msaada! Kukabiliana na Nyegezi

Msaada! Kukabiliana na Nyegezi

Fuqin

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2018
Posts
306
Reaction score
625
Niaje?? E bwana weee wife kasafiri ana kama wiki na nusu hivii tangu asafiri sasa mzee baba anataka papuch yake mpaka shidaaa!! Naweza kutembea barabarani ukiona mwanamke kakaa vibayaa basi tayari anataka kusimama yaani imekua kero wallah... msaada jinsi ya kukabiliana na hali hii na kuchepuka siwezi Namuogopa Mungu... na kuoa mke wa 2 siwezi kutokana na hali yangu ya kiuchumi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  1. Fanya sana mazoezi ya viungo,
  2. Jichanganye na watu,usipende kukaa peke yako,
  3. Zidisha ibada,
  4. Fikiria sana future ya maisha yako, Jaribu hayo kwanza kwa kuanzia.
 
Back
Top Bottom