msaada kukodi shamba

msaada kukodi shamba

Sema offer yako ya kukodi na kwa muda gani, kuna ekari mbilli pale Kisarawe, siyo mbali sana kutoka stendi, unaweza kwenda kwa Boda boda au mdogomdogo kwa miguu. Nasubiri offer yako.
 
Wasiliana nikuuzie ekari TANO bei nzuri Umiliki shamba. Lipo mkoa wa pwani 100km kutoka TAZARA unaweza kulima utakacho. Kuna black cotton soil hutahitaji mbolea. 0713683422.

Kwa ekari moja bei gani mkuu?
 
Wasiliana nikuuzie ekari TANO bei nzuri Umiliki shamba. Lipo mkoa wa pwani 100km kutoka TAZARA unaweza kulima utakacho. Kuna black cotton soil hutahitaji mbolea. 0713683422.

Ukitoka Tazara unaenda njia gani, je ni njia ya Pugu au unaenda Mbagala kwenda Kibiti?

Je shamba lako linachimbika nikitaka maji?
 
unapita pugu unakwenda hadi kisarewe unaendelea mpaka msanga. shamba lipo km 9 kutoka msanga. kijiji cha mipera mrui. halifanyiwa utayarishaji kwa kilimo. Maji yanafaa kuchimba. udongo wake ni mweusi (black cotton soil) unafaa kwa mazao mengi.
 
Back
Top Bottom