Msaada kuku aina ya kuroiler

Msaada kuku aina ya kuroiler

beluga

Member
Joined
May 27, 2013
Posts
50
Reaction score
15
Wanajamvi habari zenu,

Ni wapi hapa Dar ninaweza kupata vifaranga vya kuku aina ya kuroiler? Naomba kujuzwa au contact za muuzaji please.
 
Hao kuku ndo nawasikia leo, broiler au kuroiler
 
Yupo Sawa jamani,uswahilini tunaita Kuku Kanga
Hawa hapa
kuroiler-1000x620.jpg006.JPG
 
Back
Top Bottom