mandwa
JF-Expert Member
- Aug 13, 2013
- 1,493
- 361
Habari jamani;
Naomba msaada wa haraka kuku wangu jogoo wa Malawi anaumwa mafua hadi namuonea huruma yamembana kiasi cha kukoroma na kuziba mdomo, sijampatia dawa yeyote naomba mnisaidie aina ya dawa nzuri na bei yake.
Naomba mnisaidie maana nimemnunua ili nipate mbegu akifa nitaumia sana.
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums