Msaada kuku wagonjwa

Msaada kuku wagonjwa

Ngamba

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2013
Posts
750
Reaction score
151
Naomba msaada wa haraka, kuku wangu wawili tangu jana naona wamezubaaa, hawali hata kunywa maji
Wanaonekana kuzubaa na sio wachangaanfu kama kawaida yao, huu ni ungonjwa gani?? Na niwatibu na dawa gani na husababishwa na nini
Kwa sas nimewatenga nawezao
 
Ndio wote waipata chanjo zote, bahati mbaya nimpeleka mmoja vet clinic nimekuta pamefungwa hadi j3, so kuna mtu kanaambia niwatengezee maji ya mchanganyiko wa alovera, pilipli kichaa na mululuza so nimefanya hivyo na kuwapa kuku wote
 
nina wasiwasi ni mafua ndo kuku husinzia ila kwavile hatuwaoni bora uwatafutie dawa ya mafua ambayo ni broad spectrum yaani inatibu na magonjwa mengine mf fluban au OTC kuliko kusubiri jtatu
 
Asante mama Joe, najitahidi kutafuta hio dawa leo
 
nina wasiwasi ni mafua ndo kuku husinzia ila kwavile hatuwaoni bora uwatafutie dawa ya mafua ambayo ni broad spectrum yaani inatibu na magonjwa mengine mf fluban au OTC kuliko kusubiri jtatu

Kwa bahati nzuri nilicho kuwa natafuta imekipata. Leo asubuhi nimekuta kuku wawili wana umwa mafua nikawatenga alafu kaenda tafuta dawa bahati mbaya leo J/pili maduka yote nimekuta yamefungwa.

Hivyo nikarudi nikawapa Antibiotic ( Vertox 20. spelling nimesahau kidogo) ili kesho nikawanunulie dawa ya mafua.

Mama Joe, sijui itakuwa sahihi kesho kuacha kutumia hiyo antibiotic nikaanza dawa ya mafua?
 
angalia hali yao hadi asubuhi ikoje kama wana nafuu waweza endelea ukaachana na dawa mpya. Pia jifunze kusoma composition ya dawa unaweza kuwa ni tetracycline ukaenda ukauziwa hiyo iyo kwa trade mark tofauti. Kuliko wajaza madawa endelea nayo ila kama hamna unafuu ukifika waambie wazi umetumia hiyo ili wasijekukupa iyo iyo
 
Ahsanete sana Ndugu, Nitajitahidi sana kufuatilia Mama Joe.
 
nina wasiwasi ni mafua ndo kuku husinzia ila kwavile hatuwaoni bora uwatafutie dawa ya mafua ambayo ni broad spectrum yaani inatibu na magonjwa mengine mf fluban au OTC kuliko kusubiri jtatu
Mama Joe naomba msaada wako kuhusu uhalali wa matumizi ya dawa aina ya TEMEVAC NDV STRAIN 1-2 kwa ajili ya chanjo. Ni ile ya matone ya kuweka machoni.
 
ni chanjo ya kideri? Mimi sijawahi itumia maana navyosikia sio nzuri kama ya maji
 
Ndiyo.
Nilifanya consultation kwa mzee mmoja mtaalam wa mifugo, mi nilikuwa natafuta dawa ya chanjo lakini niliyoikuta kwenye maduka mengi ni ile ya kidonge ya kuchanganya na maji. Baada ya kupewa maelekezo yake nikaona mashariti ya namna ya kuihifadhi ni magumu kwa mazingira ya vijijini, hivyo yeye aliniambia uwepo wa hii dawa ya matone na kuwa ilikuwa imeondolewa kwenye mzunguko kwa kuwa ilichakachuliwa hapo awali. Lakini akaniambia kwa sasa imerudishwa na inafanya kazi. Nilifikiri labda unawezakuwa na taarifa kuhusu kurudi kwake ndo maana nilikuuliza.
Nimeichukua leo na kuituma kijijini kuku walipo. Basi ngoja nifanye kama majaribio ingawa sasa kama bado ina madhara kuku wangu wafa jamani!!
 
tatizo huwa naona wengi wanaolalamika kuku kuchanjwa lakini wakaugua kideri ni hii matone. Nafikiri chance ya kila kifaranga kupata tone ni ndogo. Kwani kijijini huko siku ngapi kufika? Waweza nunua vi thermos na kuweka ice na chanjo nafikiri itafika na ubaridi tu.
 
Chanjo ya Matone ninvyo jua ilisha pigwa marufuku tangu last year kwa sababu kuna fake ilikuwa imejaa sokon na kiwanda waliambiwa walekebishe baadhi ya mambo ndo waanze production so haipo Sokoni kwa sasa iliyopo ni ya Vidonge tu na ile ya matone hata hivyo ilikuwa inaibiwa ile ni ya Serkali.
 
Ndiyo.
Nilifanya consultation kwa mzee mmoja mtaalam wa mifugo, mi nilikuwa natafuta dawa ya chanjo lakini niliyoikuta kwenye maduka mengi ni ile ya kidonge ya kuchanganya na maji. Baada ya kupewa maelekezo yake nikaona mashariti ya namna ya kuihifadhi ni magumu kwa mazingira ya vijijini, hivyo yeye aliniambia uwepo wa hii dawa ya matone na kuwa ilikuwa imeondolewa kwenye mzunguko kwa kuwa ilichakachuliwa hapo awali. Lakini akaniambia kwa sasa imerudishwa na inafanya kazi. Nilifikiri labda unawezakuwa na taarifa kuhusu kurudi kwake ndo maana nilikuuliza.
Nimeichukua leo na kuituma kijijini kuku walipo. Basi ngoja nifanye kama majaribio ingawa sasa kama bado ina madhara kuku wangu wafa jamani!!

Jaribu kucheki na watu wa wizara kama kweli imeruhusiwa make Wabongo kwa kuchakachua hatujambo, unaweza uziwa iliyo isha muda wake, na Hizo dawa huwa ni za Serikali, na hayo maduka huwa wanauza kwa wizi tu.
 
ni chanjo ya kideri? Mimi sijawahi itumia maana navyosikia sio nzuri kama ya maji

Hata ya maji nayo ni shida tupu, Wafanya biashara si waaminifu, unaweza kuta umeme ilikatika siku nzima au frdge ikaharibika na Dawa yote kuharibika ila hawawezi sema wanauza hivyo hivyo matokea yake mtu anawapatia kuku na bado wanakufa kwa Kideri
 
i see asante kwa hii taarifa hata mie sikuwa najua imepigwa marufuku. Yaani hii tabia ya kuchakachua afu mamlaka hukamata vipodozi tu hata kucheck power backup hamna
 
Jaribu kucheki na watu wa wizara kama kweli imeruhusiwa make Wabongo kwa kuchakachua hatujambo, unaweza uziwa iliyo isha muda wake, na Hizo dawa huwa ni za Serikali, na hayo maduka huwa wanauza kwa wizi tu.

Asante kwa ushauri mkuu. Lakini ilionyesha imekuwa manufactured September 2014 na inaexpire December 2014.
Anyway ngoja nione namna ya kufanya kama ulivyonishauri.
 
Back
Top Bottom