Msaada kuku wangu wanakufa! Sijui ni nini? Wakianza kutaga wanakufa either wakilalia au second time ya kutaga, sijajua ni nini? Ananyongea for one day, second day anakufa.
msaada kuku wangu wanakufa,sijui ni nini,wakianza kutaga wanakufa either wakilalia au second time ya kutaga,sijajua ninini,,ananyongea for one day second day anakufa.. msaada jamani.
Peleka kuku mmoja aliyekufa wa wataalamu wa mifugo (Vet) watamfanyia upasuaji ili kujua tatizo na utapatiwa dawa. Hicho kinyesi cheupe inawezekana ni dalili ya Salmonellosis.