Msaada: Kuku wanakufa, nini tatizo?

Msaada: Kuku wanakufa, nini tatizo?

Chuck j

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2011
Posts
2,366
Reaction score
828
Msaada kuku wangu wanakufa! Sijui ni nini? Wakianza kutaga wanakufa either wakilalia au second time ya kutaga, sijajua ni nini? Ananyongea for one day, second day anakufa.

Msaada jamani.
 
Mkia tuu anaushusha,na kinyesi cheupe.
 
msaada kuku wangu wanakufa,sijui ni nini,wakianza kutaga wanakufa either wakilalia au second time ya kutaga,sijajua ninini,,ananyongea for one day second day anakufa.. msaada jamani.

Wasagie Pilipili Halafu Changanya Na Ugolo Wape Hawatakufa Tena.
 
Peleka kuku mmoja aliyekufa wa wataalamu wa mifugo (Vet) watamfanyia upasuaji ili kujua tatizo na utapatiwa dawa. Hicho kinyesi cheupe inawezekana ni dalili ya Salmonellosis.

Pole na kaza moyo, ila wahi haraka sana Vet.
 
Back
Top Bottom