Msaada :Kuku wangu JICHO linatoa tongotongo na kuziba

Msaada :Kuku wangu JICHO linatoa tongotongo na kuziba

Weera weraaaa

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2013
Posts
740
Reaction score
657
Msaada wakuu. Namsaidiaje huyu Kuku? Nimekuta ana JICHO lina tongotongo linaziba, amekosa raha kabisa hata kula yake ya shida
 
Back
Top Bottom