Msaada: Kuku wangu wanavimba sehemu za usoni

Msaada: Kuku wangu wanavimba sehemu za usoni

Mkuu maelezo yako hayatoshi, elezea vizuri kwa undani ukiweza weka picha
 
Kama ni mapele itakuwa ndui, chukua kuku mmoja nenda nae duka la mifugo wakusaidie
 
Habari zenu wa jf, kuku wangu wamepatwa na ugonjwa nisiouelewa.

Wanavimba sehemu za usoni.

Msaada wenu wana jamii
emb waone hawa jamaa wanaweza kukusaidia
20210615_171522.jpg
 
Back
Top Bottom